Remmy Ongala (10 Februari 1947 - 12 Desemba 2010) alikuwa mwanamuziki nchini Tanzania mwenye asili ya Zaire. Alizaliwa na jina la kiraia la Ramadhani Mtoro Ongala katika jimbo la Kivu la Kongo ya Kibelgiji. Remmy alifahamika sana kwa uwezo wake wa kutungia nyimbo akiwa jukwaani. Mbali na zile anazotunga akiwa na wenziwe, lakini akiwa katika kumbi huwa anazifanyia manjonjo zaidi ya yale aliyotungia. Alikuwa mbunifu na kipenzi cha watu. Licha ya kuingia katika dini mbalimbali mwisho akaishia kuwa Mlokole hadi kifo chake.
Je,Remmy Ongala alizaliwa lini?
Ground Truth Answers: 10 Februari 194710 Februari 194710 Februari 1947
Prediction: